Usaili

Matokeo ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI Juni 2025

Matokeo ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI Juni 2025

Matokeo ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 14 Juni 2025

Serikali kupitia UTUMISHI imetoa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 14 Juni 2025 kwa nafasi mbalimbali za ajira katika sekta ya umma. Haya ni matokeo rasmi kwa wale waliofanya usaili huo.

Waliochaguliwa Wazingatie Maelekezo

Wote walioteuliwa kuendelea na hatua inayofuata ya mchakato wa ajira wanapaswa:

  • Kuheshimu muda na eneo la usaili kama lilivyoainishwa kwenye tangazo rasmi au wito.
  • Kufika na vyeti halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho cha taifa au utambulisho wowote halali.

Nafasi Zilizohusika Katika Usaili

Zifuatazo ni nafasi za kazi ambazo usaili wake ulifanyika tarehe 14 Juni 2025:

Kwa waliochaguliwa, hii ni hatua muhimu kuelekea ajira serikalini. Hakikisha unafuata kila agizo na kujiandaa kikamilifu kwa hatua zinazofuata.