Ajira Mpya Standard Bank Group Tanzania 2025
Standard Bank Group Limited, benki kubwa zaidi kwa mali barani Afrika na makao makuu yake jijini Johannesburg, Afrika Kusini, imeendelea kupanua huduma zake nchini Tanzania kupitia tawi lake la Stanbic Bank Tanzania.
Benki hii ya kimataifa, ambayo ilianza rasmi shughuli zake nchini mwaka 1995 baada ya kununua shughuli za Meridien Biao Bank Tanzania, sasa inatafuta wataalamu wenye ujuzi na ari ya kazi kujiunga na timu yao kupitia nafasi mpya za ajira zilizotangazwa rasmi.
Nafasi za Ajira Zinazopatikana
Fursa za ajira zilizotangazwa na Standard Bank Tanzania ni pamoja na:
- Regional Manager, North Zone
- Manager, Branch β Karatu
- Head, Service Support
- Team Leader, Customer Service
- Officer, Sales Support
- Teller
- Custodian, Assets
- Consultant, Customer Service
- Banker, Business
- Consultant, Customer Service
- Banker, Private
Jinsi ya Kuomba
Waombaji wote wanashauriwa kutuma maombi kupitia tovuti rasmi ya Standard Bank Group. Unaweza kuona nafasi zote na kutuma maombi kupitia kiungo hiki:
π Bonyeza Hapa Kuona Kazi Zote
Usipitwe na Fursa za Ajira Nchini
Ikiwa unatafuta kazi mpya au fursa ya kubadili taaluma yako, unaweza pia kujiunga na Watanzania wengine kupitia chaneli yetu ya WhatsApp ili upate matangazo ya ajira kila siku kutoka serikalini na kampuni binafsi.
π Jiunge na WhatsApp Channel