Ajira Mpya Serengeti Breweries: Nafasi 8 za Kazi Zilizotangazwa Juni 2025
Nafasi 8 Mpya za Kazi Serengeti Breweries Limited
Serengeti Breweries Limited (SBL), mojawapo ya kampuni kubwa ya bia na vinywaji kali Tanzania, imetangaza nafasi nane za ajira kwa Watanzania wenye vigezo. SBL inamiliki viwanda vya kisasa katika mikoa ya Moshi, Mwanza na Dar es Salaam, na ina wafanyakazi zaidi ya 800.
Kampuni hii iliyoanzishwa mwaka 1988 kwa jina la Associated Breweries Limited, ilibadilishwa kuwa Serengeti Breweries Limited mwaka 2002. Makao yake makuu yako jijini Dar es Salaam.
Ikiwa sehemu ya kundi la AB InBev, SBL inatafuta watu wenye ari ya kufanya kazi kwa ubunifu na kwa viwango vya juu, katika maeneo tofauti nchini.
Orodha ya Nafasi za Kazi Zilizotangazwa
1. Operator
📍 Dar es Salaam (DSM HQ)
⏰ Full time
🗓️ Imetangazwa zaidi ya siku 30 zilizopita
📌 Ref: 30022343
2. Mechanical Artisan
📍 Dar es Salaam (DSM HQ)
⏰ Full time
🗓️ Imetangazwa jana
📌 Ref: 30083983
3. Logistics Technical Trainee
📍 Tanzania (Default Location)
🗓️ Imetangazwa siku 2 zilizopita
📌 Ref: 30053034
4. Technical Services Manager
📍 Arusha
⏰ Full time
🗓️ Imetangazwa siku 4 zilizopita
📌 Ref: 30083638
5. Operator
📍 Dar es Salaam (DSM HQ)
⏰ Full time
🗓️ Imetangazwa siku 4 zilizopita
📌 Ref: 30083697
6. MRP Specialist
📍 Dar es Salaam (DSM HQ)
⏰ Full time
🗓️ Imetangazwa siku 4 zilizopita
📌 Ref: 30082384
7. Graduate Management Trainee
📍 Tanzania (Default Location)
⏰ Full time
🗓️ Imetangazwa zaidi ya siku 30 zilizopita
📌 Ref: 30075493
8. Country Operations Manager
📍 Dar es Salaam (DSM HQ)
🗓️ Imetangazwa zaidi ya siku 30 zilizopita
📌 Ref: 30067562
Jinsi ya Kutuma Maombi
Kama una sifa zinazohitajika na una shauku ya kujiunga na SBL, unaweza kutuma maombi kupitia kiungo rasmi cha ajira:
Fursa hizi ni muhimu kwa wale wanaotafuta kazi katika sekta ya viwanda, uzalishaji na uongozi. Usikose nafasi yako!
🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!