Fursa Mpya za Ajira NBC Bank Tanzania Juni 2025
NBC Bank Tanzania, benki kongwe nchini yenye zaidi ya miaka hamsini ya huduma, imetangaza nafasi nne za kazi kwa mwezi Juni 2025. NBC inaongoza katika kutoa huduma za kibenki kwa watu binafsi, biashara, makampuni na uwekezaji, pamoja na huduma za usimamizi wa mali.
Historia ya NBC Bank Tanzania
NBC ilianza rasmi mwaka 1967 kufuatia uamuzi wa serikali ya Tanzania kunationalize taasisi zote za kifedha. Mwaka 1991, sekta ya benki ilifanyiwa marekebisho na mwaka 1997, Benki ya Biashara ya Taifa (National Bank of Commerce) iligawanywa katika taasisi tatu tofauti:
- NBC Holding Corporation
- National Microfinance Bank (NMB)
- NBC (1997) Limited
Nafasi za Kazi Zilizotangazwa NBC
1. Relationship Officer – SME
Mahali: Tawi la Arusha
Tarehe ya Kutangazwa: Siku 4 zilizopita
Rejea: R-15976566
Mwisho wa Maombi: 2025-07-01
2. Business Development Manager
Mahali: Tawi la Industrial
Tarehe ya Kutangazwa: Siku 5 zilizopita
Rejea: R-15976534
Mwisho wa Maombi: 2025-07-01
3. Financial Analyst
Mahali: Makao Makuu
Tarehe ya Kutangazwa: Siku 6 zilizopita
Rejea: R-15976495
Mwisho wa Maombi: 2025-06-29
4. Head – Financial Reporting & Tax
Mahali: Makao Makuu
Tarehe ya Kutangazwa: Siku 6 zilizopita
Tuma Maombi Yako Sasa
Kwa wanaotaka kujiunga na timu ya NBC Bank, nafasi hizi ni fursa ya kipekee. Tembelea kiungo hapa chini kutuma maombi yako moja kwa moja:
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI YA KAZI
🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!