Ajira Mpya Moshi: Nafasi 13 za Kazi Halmashauri ya Manispaa 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ametangaza nafasi mpya 13 za ajira baada ya kupokea kibali rasmi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kibali hicho kimeidhinisha utekelezaji wa ajira hizo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kupitia barua yenye Kumbukumbu Na. FA.97/228/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili 2025.
Watanzania Wenye Sifa Wanakaribishwa
Watanzania wote wanaotimiza vigezo vinavyohitajika wanahimizwa kutuma maombi ya kazi hizo mara moja. Nafasi hizi ni kwa ajili ya kuongeza nguvu kazi ndani ya Manispaa ya Moshi ili kuimarisha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Jinsi ya Kupata Maelezo Zaidi na Kutuma Maombi
Ili kujua masharti ya nafasi hizi na namna ya kutuma maombi, waombaji wanatakiwa kusoma tangazo rasmi lililoambatanishwa kwa njia ya PDF.
Pakua Tangazo Hapa:
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
🔔 Unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!