Nafasi Mpya 5 za Kazi Standard Bank Group Tanzania β Maombi Yaendelee
Standard Bank Group Limited, taasisi kubwa ya kifedha barani Afrika yenye makao makuu yake nchini Afrika Kusini, imetangaza nafasi mpya za ajira kwa ofisi zake zilizopo Tanzania kupitia tawi lake la Stanbic Bank Tanzania.
Stanbic ni tawi la benki hii ya kimataifa lililoanzishwa nchini Tanzania mwezi Mei 1995 baada ya Standard Bank Group kununua shughuli za zamani za Meridien Biao Bank Tanzania Limited. Kwa sasa, inazidi kupanua wigo wake na kuimarisha huduma kwa kuajiri wataalamu wapya katika sekta mbalimbali.
- Team Leader, Customer Service
- Manager, Branch Dar Es Salaam
- Manager, Branch Kahama
- Head, Agency Banking
- Manager, Insurance & Bancassurance
Nafasi Zinazopatikana Standard Bank Tanzania
Benki inakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye sifa zinazostahiki kwa nafasi zifuatazo:
1. Team Leader, Customer Service
π Tuma Maombi
2. Manager, Branch β Dar es Salaam
π Tuma Maombi
3. Manager, Branch β Kahama
π Tuma Maombi
4. Head, Agency Banking
π Tuma Maombi
5. Manager, Insurance & Bancassurance
π Tuma Maombi
Jinsi ya Kutuma Maombi
Waombaji wanashauriwa kubonyeza kila kiunganishi cha nafasi husika na kufuata hatua za kutuma maombi kupitia tovuti rasmi ya ajira ya Standard Bank Group.
π Hakikisha una CV iliyoandikwa vizuri, barua ya maombi, na vyeti husika unapowasilisha ombi lako.
π Je, unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
π Tembelea Habari Wise kwa habari mpya za ajira kila siku!