Vyungu vya Droo Ligi ya Mabingwa Afrika CAF 2025/26
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa rasmi orodha ya vyungu vitakavyotumika katika droo ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2025/26. Droo hii ni hatua muhimu inayopanga mechi za awali kati ya vilabu vinavyoshiriki kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Umegawanywa kwa kuzingatia kiwango cha ushindani wa timu, rekodi zao katika mashindano ya CAF, na nafasi zao kwenye ligi za nyumbani.
Orodha ya Vyungu vya Droo
Pot 1
- Aigle Noir FC (Burundi)
- ASAS/Djibouti Telecom (Djibouti)
- Insurance Company (Ethiopia)
- Kenya Police FC (Kenya)
- APR FC (Rwanda)
- Mogadishu City Club (Somalia)
- Jamus FC Juba (Sudan Kusini)
- Mlandege FC (Zanzibar)
Pot 2
- Dadjè FC (Benin)
- Rahimo FC (Burkina Faso)
- Colombe Sportive (Cameroon)
- AS Tempête (Jamhuri ya Afrika ya Kati)
- Fundación Bata (Equatorial Guinea)
- AS Mangasport (Gabon)
- Bibiani Gold Stars FC (Ghana)
- FC Fassell (Liberia)
- Libya 1 (Libya)
- Libya 2 (Libya)
- Forces Armées (Niger)
- East End Lions (Sierra Leone)
- Real de Banjul (Gambia)
- ASCK (Togo)
Pot 3
- Wiliete SC (Angola)
- Gaborone United SC (Botswana)
- US Zilimadjou (Comoros)
- AC Léopards (Congo Brazzaville)
- RD Congo 1 (DR Congo)
- RD Congo 2 (DR Congo)
- Nsingizini Hotspurs (Eswatini)
- Lioli FC (Lesotho)
- Elgeco Plus (Madagascar)
- Silver Strikers FC (Malawi)
- Cercle de Joachim (Mauritius)
- African Stars (Namibia)
- Remo Stars (Nigeria)
- Côte d’Or (Seychelles)
- Power Dynamos (Zambia)
- Simba Bhora FC (Zimbabwe)
Pot 4
- Horoya AC (Guinea)
- FC Nouadhibou (Mauritania)
- ASC Jaraaf (Senegal)
- US Monastir (Tunisia)
Pot 5
- ASFAR (Morocco)
- MC Alger (Algeria)
- JS Kabylie (Algeria)
- Stade Malien (Mali)
Pot 6
- El Merreikh (Sudan)
- Stade d’Abidjan (Ivory Coast)
Pot 7
- ASEC Mimosas (Ivory Coast)
- Orlando Pirates (Afrika Kusini)
- Atlético Petróleos de Luanda (Angola)
- Rivers United (Nigeria)
🔔 Kwa habari mpya za Michezo. Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya michezo kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!