Michezo

Msimamo Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Msimamo Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Msimamo Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Kupitia makala hii, unaweza kupata msimamo wa Kundi la Tanzania katika mchakato wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 unaofanyika nchini Kanada, Marekani, na Mexico.

Muundo wa Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Tarehe 19 Mei 2023, Kamati ya Utendaji ya CAF ilitangaza muundo mpya wa kufuzu, ambapo timu tisa za CAF zitafuzu moja kwa moja badala ya tano. Timu zimegawanywa katika makundi tisa, kila kundi likiwa na timu sita.

  • Mshindi wa kila kundi atafuzu moja kwa moja kwa Kombe la Dunia.
  • Washindi wanne bora wa kundi watashiriki mechi za mchujo ili kuamua ni timu gani nyingine itakayofuzu kupitia hatua ya mchujo.

Msimamo wa Kundi E – Tanzania

Hapa chini unaweza kuona msimamo wa Kundi E, ambapo Tanzania ipo kwenye mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia 2026: