Kikosi Cha Taifa Stars vs Congo Brazzaville Leo 05 September 2025
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inajiandaa kucheza mchezo muhimu wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Congo Brazzaville. Mchezo huu utapigwa Ijumaa, 5 Septemba 2025 kwenye Uwanja wa Alphonse Massemba, kuanzia saa 1:00 usiku (EAT).
Kikosi Kamili Cha Tanzania vs Congo Brazzaville 05 September 2025.

1:Yakoub Suleiman
2:Shomari Kapombe
3:Pascal Msindo
4:Dickson Job
5:Ibrahim Abdallah
6:Novatus Dismas
7:Clement Mzize
8:Mudathir Yahya
9:Mbwana Samatta
10:Feisal Salum
11:Simon Msuva
Kikosi cha Taifa Stars
Habari Wise Blog itakuletea orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwakilisha Tanzania katika mchezo huu muhimu. Kikosi cha Taifa Stars leo kinatarajiwa kuonesha wachezaji wenye uzoefu na vipaji vinavyoweza kusaidia timu kupata ushindi muhimu.

Mechi hii ni fursa muhimu kwa Taifa Stars kuhakikisha wanatetea nafasi yao na kufuzu hatua zinazofuata za mashindano ya Kombe la Dunia 2026.