Matokeo Simba vs Gor Mahia 10 September 2025
Klabu ya Simba SC leo inakutana na Gor Mahia FC ya Kenya katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki unaohusisha shamrashamra za Simba Day 2025.
Ratiba ya Mechi
- Tarehe: Jumatano, 10 Septemba 2025
- Saa: Kuanzia saa 11:00 jioni (EAT)
- Uwanja: Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
LIVE Updates Simba vs Gor Mahia
Habari Web Blog inakuletea taarifa za moja kwa moja kuanzia dakika ya kwanza hadi ya 90, ikikupa matokeo na mwenendo wa mchezo huu wa Simba Day 2025.