Matokeo Yanga vs Bandari FC 12 Septemba 2025
Yanga SC leo Ijumaa, 12 Septemba 2025, inakabiliana na Bandari FC ya Kenya katika mchezo maalum wa kuhitimisha Tamasha la Yanga Day 2025. Matokeo Yanga vs Bandari FC Leo 12/09/2025
Full Time’ Yanga SC 1 – 0 Bandari FC (LIVE From Benjamin Mkapa Stadium, Dar Es Salaam)
GOAL SCORER: Selestine Ecua 02′
Ratiba ya Mechi
- Tarehe: Ijumaa, 12 Septemba 2025
- Saa: Kuanzia saa 11:00 jioni (EAT)
- Uwanja: Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam
Ufuatiliaji wa Mechi
Mashabiki wa Yanga SC na soka kwa ujumla wanaweza kufuatilia matukio yote ya moja kwa moja kuanzia dakika ya kwanza hadi ya 90 kupitia Habari Web Blog, ambapo taarifa zote muhimu za mchezo huu zitatolewa moja kwa moja.
Umuhimu wa Mchezo
Mchezo huu ni sehemu ya Tamasha la Siku ya Mwananchi 2025, ambalo limekuwa desturi ya Yanga SC kuwatambulisha wachezaji na kusherehekea pamoja na mashabiki wake kabla ya kuanza msimu mpya wa mashindano.
LIVE: Yanga SC vs Bandari FC – Matokeo na matukio yote kutoka dakika ya kwanza hadi ya mwisho.