Download Fomu za Kujiunga na MoCU 2025/2026 (PDF)
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kimetoa fomu rasmi za kujiunga kwa wanafunzi waliopata nafasi kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Fomu hizo zinapatikana kwa njia ya PDF kupitia tovuti rasmi ya chuo.
Fomu ya Kujiunga na Maelekezo (Joining Instructions Form)
Wanafunzi wote waliopokelewa wanapaswa Download fomu ya kujiunga ambayo ina maelekezo muhimu ya maandalizi ya kuingia chuoni. Fomu hiyo inapatikana kupitia kiunganishi hapa chini:
Download Fomu ya Kujiunga MoCU 2025/2026 (PDF)
Ni muhimu kujaza na kuwasilisha fomu hiyo kulingana na maelekezo yaliyoainishwa kabla ya kuwasili chuoni. Kwa maswali zaidi, wasiliana na ofisi ya udahili ya MoCU kupitia mawasiliano yaliyotajwa kwenye tovuti yao rasmi.
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!
🔔 Kwa habari mpya Kila siku. Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya habari kila siku!