Dr Ipyana Ft Iman Eric Shoo – Mfalme Wa Utukufu Mp3 Download
Dr Ipyana Ft Iman Eric Shoo – Mfalme Wa Utukufu Mp3 Download, Dr Ipyana ameendelea kugusa nyoyo kupitia muziki wa injili kwa kuachia wimbo mpya wenye nguvu uitwao Mfalme Wa Utukufu akimshirikisha Iman Eric Shoo. Mchungaji huyu wa nyimbo, ambaye pia ni daktari wa tiba, amejijengea nafasi ya kipekee kwa kuunganisha wito wa huduma na kipawa cha uimbaji wa ibada.
Wimbo huu ni sehemu ya pili ya mfululizo wa Here As In Heaven (#KamaMbinguniFestival25), baada ya kutokea kwa nyimbo yenye mguso mkubwa I SEE THE LORD. Kupitia Mfalme Wa Utukufu, Dr Ipyana analeta ujumbe wa kinabii na ibada safi inayowavuta waumini kumtazama Mungu kwa undani zaidi.
Sikiliza na download wimbo “Dr Ipyana Ft Iman Eric Shoo – Mfalme Wa Utukufu” hapa chini: