Michezo

Kikosi cha Simba SC Dhidi ya Kagera Sugar Leo 22 Juni 2025

KIKOSI cha Simba SC Leo vs Kagera Sugar

KIKOSI cha Simba SC Leo vs Kagera Sugar

Simba SC inashuka dimbani leo Jumapili, tarehe 22 Juni 2025, kuanzia saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, kuwakabili Kagera Sugar FC katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25. Mechi hii itachezwa huku Simba ikisaka alama tatu muhimu ili kuendeleza matumaini ya kutwaa ubingwa wa ligi.

KIKOSI cha Simba SC Leo vs Kagera Sugar

Kikosi cha Simba SC Kinachoanza Leo

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoaza leo dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2024/25;-

  • CAMARA
  • DUCHU
  • NOUMA
  • CHE MALONE
  • CHAMOU
  • NGOMA
  • MAVAMBO
  • AHOUA
  • MUKWALA
  • AWESU
  • CHASAMBI
KIKOSI cha Simba SC Leo vs Kagera Sugar
KIKOSI cha Simba SC Leo vs Kagera Sugar

Simba SC Yapigania Ubingwa wa Ligi

Kwa sasa, Simba SC inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi, na ushindi katika mechi ya leo utaweka presha kwa vinara wa ligi katika siku ya mwisho ya msimu. Ni mechi ya lazima kushinda kwa wekundu wa Msimbazi kama wanataka kutimiza ndoto ya kutwaa ubingwa msimu huu.

Kagera Sugar Yasubiri Maisha Mapya Ligi ya Daraja la Kwanza

Kagera Sugar tayari imeshuka daraja na iko nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Kwa hali hiyo, mechi ya leo haina presha kwao, lakini pia haina maana kubwa ya kiushindani. Hii inaweza kuwapa uhuru wa kucheza bila wasiwasi, ingawa matokeo ya mechi hayawezi kubadilisha hatima yao ya kushuka daraja.

🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!