Michezo

Kikosi cha Simba vs Gor Mahia 10/09/2025

Kikosi cha Simba vs Gor Mahia 10/09/2025

Kikosi cha Simba vs Gor Mahia 10 September 2025

Klabu ya Simba SC imepanga kuingia dimbani katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia FC ya Kenya. Mechi hii inaleta ushindani wa kuvutia kati ya klabu mbili zenye historia kubwa katika soka la Afrika Mashariki.

Ratiba ya Mechi

  • Tarehe: Jumatano, 10 Septemba 2025
  • Muda: Saa 11:00 jioni (EAT)
  • Uwanja: Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam

Kikosi cha Simba SC

Kuelekea mchezo huu, mashabiki watapata kikosi rasmi cha Simba SC kitakachoanza dhidi ya Gor Mahia moja kwa moja kupitia Habari Wise Blog.