Michezo

KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025

Kikosi cha simba kinachoanza dhidi ya Yanga Leo
Kikosi cha simba kinachoanza dhidi ya Yanga Leo

KIKOSI Rasmi cha Simba SC Dhidi ya Yanga Leo 25 Juni 2025

Mechi ya watani wa jadi kati ya Simba SC na Yanga SC inachezwa leo Jumatano, tarehe 25 Juni 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 11:00 jioni. Hii ni miongoni mwa mechi kubwa zaidi Afrika Mashariki, ikivuta mashabiki kutoka kona zote za Tanzania na nje ya nchi.

Kikosi cha Simba vs Yanga Leo Kwa Mkapa

Hiki hapa ni kikosi cha wachezaji wa Simba SC kinachoanza leo:

Kikosi cha Simba SC

  • 26 CAMARA
  • 12 KAPOMBE
  • 15 HUSSEIN C
  • 2 CHAMOU
  • 20 CHE MALONE
  • 21 KAGOMA
  • 7 MUTALE
  • 6 NGOMA
  • 11 MUKWALA
  • 10 AHOUA
  • 34 MPANZU

SUBSTITUTIONS:

ALLY, NOUMA, HAMZA, OKEJEPHA, KIBU,FERNANDES, ATEBA, AWESU, MASHAKA, BASHIR.


KIKOSI Cha Simba dhidi ya Yanga Leo
KIKOSI kinachoanza chaSimba vs Yanga Leo

Simba SC Yaweka Hadharani Kikosi Chake

Katika kuelekea mchezo huu wa Ligi Kuu NBC, Simba SC imetangaza kikosi chake kinachoanza dhidi ya Young Africans. Kikosi hiki kinatarajiwa kuingia kwa nguvu kikilenga ushindi kwenye Kariakoo Derby ya kukata na shoka.

Kikosi hiki kimeundwa kwa lengo la kuleta ushindani mkali, kikiwa na mchanganyiko wa uzoefu na vipaji vinavyowika kwenye ligi.

KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025
KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025

🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!