Michezo

Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Niger 09/09/2025

Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Niger 09/09/2025

Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Niger

Mechi ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inashuka dimbani leo Jumanne tarehe 9 Septemba 2025 katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Niger. Mchezo huu utapigwa kwenye Uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa 10:00 jioni. Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Niger 09/09/2025

Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Niger
Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Niger

Safari ya Taifa Stars

Baada ya kutoka sare kwenye mchezo wa awali ugenini, Stars wanarejea nyumbani wakiwa na matumaini makubwa ya kupata matokeo chanya. Hii ni sehemu ya kampeni yao ya kufuzu michuano mikubwa zaidi ya soka duniani, jambo linalowapa mashabiki matumaini makubwa.

Kikosi cha Kuanza Taifa Stars Leo

  • Suleiman
  • Kapombe
  • Msindo
  • Job
  • Bacca
  • Novatus
  • Feisal Toto
  • Mzize
  • Seleman
  • Msuva
  • Samatta
Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Niger
Kikosi cha Taifa Stars Leo vs Niger

Umuhimu wa Mchezo Huu

Niger ni timu inayojulikana kwa nidhamu na ukakamavu mkubwa, jambo linaloifanya kuwa mpinzani mgumu. Hata hivyo, Taifa Stars wana faida ya kucheza nyumbani na wanategemea hamasa ya mashabiki wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla ili kuwapa nguvu ya kusaka ushindi.