Kikosi cha Yanga Vs Bandari FC Leo 12 Septemba 2025
Yanga SC inashuka dimbani leo Ijumaa, 12 Septemba 2025, kumenyana na Bandari FC katika mchezo wa kirafiki maalum wa kuhitimisha Tamasha la Siku ya Mwananchi 2025.
Ratiba ya Mchezo
- Timu: Yanga SC vs Bandari FC
- Tarehe: Ijumaa, 12 Septemba 2025
- Muda: Saa 11:00 jioni (EAT)
- Tukio: Tamasha la Siku ya Mwananchi 2025
Kikosi cha Yanga SC Leo
Habari Web Blog itakuletea kikosi kamili cha kwanza cha Yanga SC kitakachoanza dhidi ya Bandari FC mara tu kitakapotangazwa rasmi kuelekea mchezo wa leo.

Mashabiki wa Yanga na wapenzi wa soka kwa ujumla wanatarajia burudani ya kipekee kutoka kwa kikosi kipya cha Yanga SC dhidi ya Bandari FC katika siku hii muhimu kwa historia ya klabu.