
Kikosi Rasmi cha Yanga Dhidi ya Simba Leo 25 Juni 2025
KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo 25 June 2025: Mechi kubwa ya watani wa jadi kati ya Yanga vs Simba SC inachezwa leo Jumatano, tarehe 25 Juni 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mchezo huu wa Ligi Kuu ya NBC utaanza saa 11:00 jioni na unatarajiwa kuvutia mashabiki lukuki kutoka kila kona ya nchi.
Kikosi cha Yanga SC Kinachoanza Dhidi ya Simba SC Leo
Hiki ndicho kikosi kinachoanza kwa upande wa Yanga SC katika mchezo huu mkubwa:
Kikosi cha Yanga vs Simba Leo:
- 39 DIARRA
- 66 MWENDA
- 23 BOKA
- 5 JOB CE
- 4 BACCA
- 8 AUCHO
- 38 ABUYA
- 27 MUDATHIR
- 29 DUBE
- 26 PACOME
- 7 MAXI
SUBSTITUTIONS:
Mshery, Kibwana, Mwamnyeto, Farid, SureBoy, Willyson, Shekhan, Ikangalombo, Chama, Mzize
HEAD COACH: MILOUD HAMDI

Saa ya Kutangazwa Kikosi
Kuelekea mchezo huu wa moto, kikosi rasmi cha Yanga SC kimetangazwa rasmi saa 10:00 jioni, saa moja kabla ya mpira kuanza, kama ilivyozoeleka kwenye michezo mikubwa ya ushindani kama huu wa Kariakoo Derby.
Mashabiki wa Yanga wanatarajia kikosi hiki kuwapa matokeo chanya dhidi ya Simba kwenye mchezo huu wa kihistoria unaofuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya Tanzania.
🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!