Kikosi Kipya cha Simba SC Msimu wa 2025/2026: Orodha Kamili ya Wachezaji, Fahamu wachezaji wote waliomo kwenye kikosi cha Simba SC msimu wa 2025/2026, wakiwemo nyota wapya na waliobaki kwa safari ya NBC na CAF.
Kikosi cha Simba SC kwa Msimu wa 2025/2026
Klabu ya Simba SC imekamilisha maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kwa kutangaza kikosi chake rasmi kitakachoshiriki Ligi Kuu ya NBC pamoja na michuano ya kimataifa kama Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League). Hapa chini ni wachezaji waliothibitishwa kuunda kikosi hicho kwa msimu wa 2025/2026.
- Moussa Camara
- Hussein Abel
- Ally Salim
- Shomari Kapombe
- Anthony Mligo
- Miraji Abdallah ‘Zambo’
- Karaboue Chamou
- Rushine De Reuck
- Abdurazack Hamza
- Yusuph Kagoma
- Jonathan Sowah
- Neo Maema
- Elie Mpanzu
- David Kameta
- Mohamed Mussa
- Jean Charles Ahoua
- Alassane Kante
- Steven Mukwala
- Joshua Mutale
- Mzamiru Yassin
- Morice Abraham
- Lionel Ateba
- Ladack Chasambi
- Awesu Awesu
- Hussein Daudi Semfuko
- Mohamed Bajaber
- Anthony Mligo
Matarajio kwa Msimu Mpya
Simba SC imedhamiria kurejea kwenye kilele cha mafanikio ndani ya nchi na nje ya mipaka ya Tanzania. Kikosi hiki kipya kinaonekana kuwa na mchanganyiko wa uzoefu na vipaji chipukizi, huku baadhi ya majina mapya yakiwa ni usajili wa kimataifa wenye lengo la kuimarisha kila idara ya timu.
Maandalizi kwa Mashindano ya Afrika
Kikosi hiki kinatarajiwa kuingia kambini mapema kujiandaa na CAF Champions League, ambapo Simba inalenga kuvuka hatua ya robo fainali na kutwaa taji hilo la kifahari barani Afrika.
Endelea kutembelea tovuti yetu kwa taarifa mpya za maendeleo ya Simba SC, mechi za kirafiki, na usajili unaoendelea kabla ya kuanza kwa msimu rasmi.
🔔 Kwa habari mpya za Michezo. Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya michezo kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!