Majina ya Waliochaguliwa CAWM-Mweka 2025/2026
Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Afrika, Mweka (CAWM-Mweka) kimetangaza rasmi orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo kwa mwaka wa masomo 2025/2026 awamu ya kwanza.
Jinsi ya Kupata Orodha ya Majina
Ili kuona majina ya wanafunzi waliopata nafasi ya kujiunga na CAWM-Mweka kwa mwaka huu wa masomo, unaweza kupakua orodha kamili kwa njia ya PDF kupitia tovuti ya chuo.
👉 Bofya hapa kudownload PDF ya majina
Hitimisho
CAWM-Mweka inawapongeza wanafunzi wote waliopata nafasi ya kujiunga katika awamu ya kwanza ya udahili 2025/2026 na inawakaribisha katika safari ya elimu ya usimamizi wa wanyamapori barani Afrika.