Majina ya Waliochaguliwa TICD 2025/2026
Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) kimetoa rasmi orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo kwa mwaka wa masomo 2025/2026, awamu ya kwanza.
Jinsi ya Kuangalia Majina
Wanafunzi wote walioomba nafasi katika TICD wanaweza kuangalia kama wamechaguliwa kwa kupakua orodha rasmi ya majina kupitia tovuti ya chuo.
👉 Bofya hapa kudownload PDF ya majina
Hitimisho
Kwa waliopata nafasi, hii ni hatua muhimu ya kujiandaa kuanza safari ya masomo TICD. Chuo kinawakaribisha wanafunzi wapya kujiunga na jumuiya yake kwa mwaka wa masomo 2025/2026.