Elimu

Majina ya Waliochaguliwa DIT 2025/2026

Majina Waliochaguliwa DIT 2025/2026

Majina Waliochaguliwa DIT 2025/2026

Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kimetoa rasmi orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo kwa mwaka wa masomo 2025/2026, awamu ya kwanza.

Jinsi ya Kuangalia Orodha

Wanafunzi wanaotaka kuona majina yao wanahimizwa kupakua PDF yenye orodha kamili kupitia tovuti ya DIT.

👉 Bofya hapa kudownload PDF ya majina

Hitimisho

DIT inawapongeza wote waliopata nafasi ya kujiunga na chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2025/2026 na inawahimiza wanafunzi wapya kujiandaa kwa ajili ya taratibu za udahili na masomo.