Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na MoCU 2025/2026
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kimetoa rasmi majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kupitia mfumo wa TAMISEMI. Wanafunzi waliopata nafasi hiyo wanahitajika kuingia kwenye akaunti zao kwa ajili ya uthibitisho na kupokea barua za udahili.
Jinsi ya Kuthibitisha na Download Barua ya Udahili MoCU
- Tembelea tovuti rasmi ya MoCU: https://mocuas.mocu.ac.tz
- Tumia namba yako ya Form Four (mfano: S0000-0000-2024) kama User Name
- Tumia jina lako la mwisho kwa HERUFI KUBWA kama Password
- Baada ya kuingia, unaweza Download barua ya udahili na fomu ya kujiunga
Kwa msaada zaidi, wasiliana na MoCU kupitia namba zifuatazo:
0738568023, 0738568024, 0738568025, 0617474711, 0772674711
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!
🔔 Kwa habari mpya Kila siku. Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya habari kila siku!