Kuitwa Kazini

Majina ya Walioitwa Kazini na Utumishi 01 Julai 2025: Download PDF

Majina ya Walioitwa Kazini na Utumishi 01 Julai 2025: Download PDF

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi 01 Julai 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ametangaza orodha ya waombaji kazi waliopata ajira baada ya kufaulu usaili uliofanyika kati ya 02 Septemba 2024 hadi 21 Mei 2025. Orodha hii imejumuishwa kwenye tangazo rasmi la tarehe 01 Julai 2025.

Orodha ya Majina na Kupangiwa Vituo vya Kazi

Mbali na waombaji waliofanya usaili, tangazo hili pia linajumuisha majina ya waombaji waliokuwa kwenye kanzidata waliopangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kufunguka. Wote waliofanikiwa wanapaswa kupakua barua za kupangiwa kazi kupitia akaunti zao za Ajira Portal, sehemu ya My Applications. Ni muhimu kuchapisha nakala ya barua hiyo kwa ajili ya kuripoti kazini.

Maelekezo Muhimu kwa Walioitwa Kazini

Waajiriwa wapya wanatakiwa kuripoti kwa waajiri wao ndani ya muda uliotajwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi. Wanapaswa kuwa na vyeti halisi vya elimu kuanzia kidato cha nne ili kufanyiwa uhakiki kabla ya kupewa barua rasmi ya ajira. Ikiwa jina lako halipo kwenye orodha, haimaanishi mwisho wa safariβ€”unaweza kuomba tena mara nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Download PDF ya Walioitwa Kazini

πŸ”” Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!