Kuitwa Kazini

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi Juni 23, 2025

Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi Juni 20, 2025

Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi – Angalia Hapa

Orodha ya Waliofaulu Usaili na Kupangiwa Kazi

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ametangaza majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili uliofanyika kati ya tarehe 2 Septemba 2024 hadi 17 Mei 2025. Orodha hii inawasilisha majina ya waliochaguliwa kuajiriwa katika nafasi mbalimbali za kazi ndani ya taasisi za umma.

Waliochaguliwa Kutoka Kanzidata

Mbali na waliofaulu usaili wa moja kwa moja, tangazo hili pia linahusisha waombaji waliokuwepo kwenye kanzidata ya Sekretarieti ya Ajira. Waombaji hao wameteuliwa kujaza nafasi zilizoibuka kwenye kada mbalimbali, na sasa wamepangiwa vituo rasmi vya kazi.

Angalia Tangazo la Kuitwa Kazini Juni 2025

Tangazo hili linaorodhesha majina yote ya walioteuliwa kuanza kazi rasmi kuanzia tarehe 20 Juni 2025 katika taasisi mbalimbali za umma. Kwa waliotuma maombi na kufanyiwa usaili ndani ya kipindi husika, ni muhimu kuangalia kama jina lako limejumuishwa kwenye orodha hiyo mpya.

🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!