Majina ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya: Tangazo Rasmi Tarehe 20 Juni 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ametangaza majina ya waombaji waliopata ajira katika Wizara ya Afya. Hii inahusu waombaji waliopitia usaili kuanzia tarehe 5 Septemba 2024 hadi 21 Mei 2025. Majina ya waliofaulu yameorodheshwa rasmi na wanatakiwa kuripoti kazini kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo husika.
Tangazo hili pia linajumuisha baadhi ya waombaji waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali, ambao sasa wamepangiwa vituo vya kazi kutokana na upatikanaji wa nafasi.
Jinsi ya Kupata Orodha Kamili ya Majina
Ili kuona orodha kamili ya walioitwa kazini, unaweza kupakua faili la PDF kupitia kiungo rasmi kilichotolewa na Sekretarieti ya Ajira:
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!