Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Kilosa District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa ametangaza majina ya waombaji kazi walioitwa kwenye usaili wa ajira unaotarajiwa kuanza kuanzia tarehe 09 Septemba 2025 hadi 10 Septemba 2025. Baada ya usaili, watakaofaulu watapangiwa vituo vya kazi kulingana na nafasi walizoomba.
Maelekezo Muhimu kwa Washiriki
Waombaji wote waliopata nafasi ya kuitwa kwenye usaili wanatakiwa kusoma na kuzingatia maelekezo yote yaliyotolewa ndani ya tangazo rasmi. Hii ni pamoja na nyaraka muhimu zinazohitajika siku ya usaili pamoja na muda wa kuripoti kwenye kituo husika.
Orodha Kamili ya Walioitwa
Kwa majina ya walioitwa pamoja na maelekezo ya kina kuhusu usaili, tafadhali pakua PDF kupitia kiungo kilicho hapa chini:
Download Majina ya Walioitwa Usaili Kilosa District Council (PDF)