Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Singida District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida ametangaza majina ya waombaji kazi waliofanikiwa kuitwa kwenye usaili wa ajira, utakaofanyika kuanzia tarehe 12 Septemba 2025 hadi 13 Septemba 2025.
Baada ya mchakato huo, waombaji kazi watakaofaulu watachaguliwa na kupangiwa vituo vya kazi kulingana na nafasi walizoomba.
Maelekezo Muhimu kwa Wasailiwa
Waombaji wote waliotajwa kwenye orodha wanapaswa kufuatilia maelekezo yaliyotolewa ili kuhakikisha wanashiriki ipasavyo katika usaili. Maelekezo haya yametolewa rasmi kwenye tangazo lililowekwa katika PDF.
Download Majina na Maelekezo ya Usaili Singida District Council (PDF)