Makundi Rasmi ya Droo ya Kombe la Shirikisho la CAF 2025/26
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetoa orodha ya vyungu rasmi kwa ajili ya droo ya awamu ya awali ya Kombe la Shirikisho la Nishati ya CAF msimu wa 2025/26. Droo hiyo inatarajiwa kufanyika sambamba na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika siku ya Jumamosi, Agosti 9, 2025, jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Msimu huu unashuhudia ongezeko la vilabu shiriki, hali inayotarajiwa kuongeza ushindani mkali tangu raundi za mwanzo. Ugawaji wa vyungu umezingatia historia ya vilabu katika mashindano ya CAF na matokeo yao ya hivi karibuni.
Table of Contents
Vyungu vya Droo – Raundi za Awali CAF Confederation Cup 2025/26
Pot 1
Coton Sport (Benin), USFA (Burkina Faso), Aigle Royal (Cameroon), AF Amadou Diallo (Côte d’Ivoire), FC San Pedro (Côte d’Ivoire), Asante Kotoko (Ghana), Hafia FC (Guinea), Black Man Warrior (Liberia), ASC Snim (Mauritania), OCS (Morocco), ASN Nigelec (Niger), Abia Warriors (Nigeria), Kwara United (Nigeria), Génération Foot (Senegal), Bhantal FC (Sierra Leone), AS Gbohloe-su (Togo), Stade Tunisien (Tunisia).
Pot 2
Flambeau du Centre (Burundi), AS Port (Djibouti), Wolitta Dicha SC (Ethiopia), Nairobi United FC (Kenya), Libya 1 (Libya), Libya 2 (Libya), Rayon Sport FC (Rwanda), Dekadaha FC (Somalia), El Merriekh FC Bentiu (South Sudan), Al Ahli Madani (Sudan), Al Zamalek Umr. (Sudan), Singida Black Stars (Tanzania), Azam FC (Tanzania), NEC FC (Uganda), KMKM SC (Zanzibar).
Pot 3
Kabuscorp de Palanca (Angola), CD 1º de Agosto (Angola), Djabal FC (Comoros), RD Congo 1 (DR Congo), RD Congo 2 (DR Congo), FC 15 Agosto (Equatorial Guinea), FC 105 (Gabon), AS Fanalamanga (Madagascar), Mighty Wanderers (Malawi), Pamplemousses (Mauritius), Ferroviário de Maputo (Mozambique), Young Africans FC (Namibia), Foresters FC (Seychelles), Zesco United (Zambia).
Vilabu Vilivyoanza Moja kwa Moja Raundi ya Awali
Djoliba AC de Bamako (Mali), Jwaneng Galaxy (Botswana), Étoile Sportive du Sahel (Tunisia), Kaizer Chiefs (Afrika Kusini), Royal Leopards (Eswatini), AS Otohô (Congo Brazzaville).

🔔 Kwa habari mpya za Michezo. Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya michezo kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!