Michezo

MATOKEO Kengold vs Simba LIVE Leo Juni 18, 2025

MATOKEO ya Kengold vs Simba Leo Juni 18, 2025

Matokeo Simba dhidi ya Kengold Leo Juni 18, 2025

Katika moja ya mechi muhimu za Ligi Kuu NBC 2024/2025, Simba SC inakutana na Kengold FC leo Juni 18, 2025 saa 1:00 usiku UTC. Mechi hii ni muhimu sana kwa Simba SC ambao wanaendelea kupigania ubingwa wa msimu huu.

Kwa sasa, Simba SC ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi, na ushindi leo utawasaidia kuongeza presha kwa vinara wa ligi. Kocha na wachezaji wa Simba wanahitaji ushindi ili kujiweka vizuri zaidi katika mbio za taji, kwani matokeo mabaya yanaweza kuwa na athari kubwa kwenye matumaini yao ya kutwaa ubingwa.

Hali ya Mchezo: Kengold VS Simba LIVE

KENGOLD FC 0 – 5 SIMBA SC
Mchezo ulianza saa 10:00 jioni

MATOKEO Kengold vs Simba Leo
MATOKEO Kengold vs Simba Leo

Kwa upande wa Kengold FC, tayari wamepoteza nafasi ya kubaki ligi kuu msimu ujao, wakiwa nafasi ya 16 na wameshathibitishwa kushuka daraja. Ingawa hawana tena presha ya alama, mara nyingi timu zilizoshuka daraja hucheza kwa uhuru zaidi—hali inayoweza kuwa tishio kwa Simba kama hawatacheza kwa tahadhari.

Simba inalazimika kuwa makini kuhakikisha wanapata matokeo mazuri dhidi ya timu ambayo haina cha kupoteza, lakini inaweza kusababisha mshangao wowote uwanjani.

🔔 Unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!