Ajira Portal Yatoa Matokeo ya Usaili wa Vitendo Tarehe 01 Agosti 2025
Tovuti rasmi ya Ajira Portal imetoa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 01 Agosti 2025 kwa nafasi mbalimbali za ajira. Wasailiwa walioteuliwa wanaelekezwa kufika kwenye hatua inayofuata ya mchakato kwa kuzingatia muda na mahali walikoelekezwa.
Maelekezo Muhimu kwa Walioitwa
Ajira Portal inawakumbusha wasailiwa wote kuhakikisha wanajitokeza wakiwa na vyeti halisi vya taaluma pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi rasmi kabla ya usaili. Ukosefu wa nyaraka hizo unaweza kuathiri ushiriki wa mwombaji katika hatua zinazofuata.
Tazama Matokeo Kupitia Ajira Portal
Kwa kuangalia majina ya waliofanikiwa katika kila nafasi, tumia viunganishi vya PDF vilivyowekwa rasmi na Ajira Portal:
- CONSERVATION RANGER III β DRIVER (1)
- CONSERVATION RANGER III β OFFICE MANAGEMENT SECRETARY
- CONSERVATION RANGER III β PLANT OPERATOR (1)
- CONSERVATION RANGER III β TECHNICIAN (MECHANICAL)
π Tafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
π Tembelea Habari Wise kwa habari mpya za ajira kila siku!