Usaili

Matokeo Rasmi ya Usaili wa Vitendo OSHA 15 Juni 2025

Matokeo ya Usaili wa Vitendo OSHA 15 Juni 2025

Matokeo ya Usaili wa Vitendo OSHA 15 Juni 2025

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetangaza matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 15 Juni 2025. Usaili huu ulikuwa ni sehemu ya mchakato wa ajira kwa nafasi ya Office Management Secretary II.

Waliofaulu na Hatua Inayofuata

Wasailiwa wote waliopata nafasi ya kuendelea katika hatua inayofuata ya mchakato wa ajira wanaelekezwa kuzingatia tarehe, muda na eneo la usaili wa mwisho kama lilivyoelezwa kwenye tangazo la matokeo.

👉 Tazama majina ya waliochaguliwa kupitia kiungo rasmi:

DOWNLOAD PDF ya Matokeo OSHA

Maelekezo Muhimu kwa Washiriki

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika katika eneo la usaili wakiwa na:

  • Vyeti vyao halisi vya taaluma (Original Certificates)
  • Kitambulisho cha taifa au kingine halali cha utambulisho

Kushindwa kuwasilisha nyaraka hizi kutasababisha mgombea kuondolewa kwenye hatua ya usaili bila mjadala.

Kwa taarifa zaidi na maswali, tembelea tovuti rasmi ya ajira.go.tz. OSHA inawatakia kila la heri wote wanaoendelea na mchakato huu.