Michezo

Matokeo Simba vs Gor Mahia 10/09/2025

Matokeo Simba vs Gor Mahia 10/09/2025

Matokeo Simba vs Gor Mahia 10 September 2025

Klabu ya Simba SC leo inakutana na Gor Mahia FC ya Kenya katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki unaohusisha shamrashamra za Simba Day 2025.

Ratiba ya Mechi

  • Tarehe: Jumatano, 10 Septemba 2025
  • Saa: Kuanzia saa 11:00 jioni (EAT)
  • Uwanja: Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

LIVE Updates Simba vs Gor Mahia

Habari Web Blog inakuletea taarifa za moja kwa moja kuanzia dakika ya kwanza hadi ya 90, ikikupa matokeo na mwenendo wa mchezo huu wa Simba Day 2025.