Matokeo Taifa Stars vs Congo Brazzaville 05 September 2025
Timu ya Taifa ya Tanzania inashindana kupata nafasi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia 2026. Ijumaa, tarehe 5 Septemba 2025, Taifa Stars wanakutana na Congo Brazzaville kwenye Uwanja wa Alphonse Massamba.
Ratiba ya Mchezo
- Tarehe: Ijumaa, 05 Septemba 2025
- Saa: Kuanzia saa 1:00 usiku
- Uwanja: Alphonse Massamba
LIVE Update
Habari Web Blog inatoa taarifa za moja kwa moja kuanzia dakika ya kwanza hadi ya 90, ikifuatilia kila hatua ya mechi ya Congo vs Tanzania. Mashabiki wanaweza kufuatilia matokeo, mabao na hali ya mchezo huku wakipata updates za moja kwa moja.
Mchezo huu ni muhimu kwa Taifa Stars katika harakati zao za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026.