Matokeo Yanga Dhidi ya Tanzania Prisons Leo 18 Juni 2025
Leo tarehe 18 Juni 2025, Yanga Sports Club inashuka dimbani kuivaa Tanzania Prisons kwenye mechi kali ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), ikianza saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mchezo huu unatajwa kuwa na umuhimu mkubwa kwa hatima ya msimu huu kwa pande zote mbili.
Matokeo ya Moja kwa Moja: Yanga SC vs Tanzania Prisons
LIVE:
Tanzania Prisons 0 – 5 Yanga SC
Mchezo ulianza rasmi saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na hadi sasa, Yanga SC inaongoza kwa mabao mawili bila majibu dhidi ya Tanzania Prisons. Huu ni ushindi muhimu kwa mabingwa hao watetezi katika safari yao ya kulinda taji la NBC Premier League.
Yanga, ambayo inaongoza ligi kwa tofauti ndogo ya pointi dhidi ya wapinzani wao wa karibu, inalenga kupata ushindi ili kudumisha nafasi yao kileleni na kuendelea kutetea ubingwa wao wa msimu wa 2024/2025. Kwao, kila alama ni ya dhahabu, na presha ya kuibuka na ushindi ni kubwa zaidi kadri msimu unavyokaribia kufikia tamati.

Kwa upande wa Tanzania Prisons, ambao kwa sasa wanashikilia nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi, ushindi ni wa lazima ili kuepuka kuingia kwenye mtego wa mechi za mchujo. Pointi tatu kwenye mechi hii zinaweza kuwa na mchango mkubwa katika kuamua hatima yao ya kubaki Ligi Kuu msimu ujao.
🔔 Unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!