Elimu

Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Njombe

Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Njombe

Matokeo ya Mtihani wa Mock Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Njombe

Wanafunzi wa Darasa la Saba kutoka mkoa wa Njombe sasa wanaweza kuona matokeo yao ya mtihani wa utamirifu (mock) kwa mwaka 2025. Mtihani huu ni sehemu muhimu ya maandalizi kuelekea mtihani wa kitaifa wa kumaliza elimu ya msingi.

Kwa wanafunzi, wazazi na walimu wanaotaka kuyatazama matokeo hayo, tayari yamewekwa mtandaoni. Unaweza kuyapata moja kwa moja kupitia kiungo kilicho rasmi.

Bonyeza hapa kuona matokeo yote:

Endelea kufuatilia taarifa zaidi za elimu kupitia Habari Wise kwa taarifa sahihi na kwa wakati.

🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!