Elimu

Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Ruvuma

Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Ruvuma

Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 Mkoa wa Ruvuma Yametolewa

Wanafunzi wa Darasa la Saba kutoka shule mbalimbali za Mkoa wa Ruvuma sasa wanaweza kuangalia matokeo yao ya Mtihani wa Utamirifu (Mock) kwa mwaka 2025. Matokeo haya ni hatua muhimu ya tathmini kabla ya mtihani wa mwisho wa kitaifa, yakionyesha utayari wa wanafunzi kuelekea mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi.

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Mock Darasa la Saba

Kwa wanafunzi, wazazi na walimu wanaotaka kujua matokeo, wanaweza kuyapata kwa kubofya kiungo kilicho hapa chini:

Endelea kutembelea Habari Wise kwa taarifa zote muhimu kuhusu elimu, matokeo na ratiba za mitihani kote nchini.

🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!