Usaili

Matokeo ya Usaili wa Kuandika DUCE 03/09/2025

Matokeo ya Usaili wa Kuandika DUCE 03/09/2025

Matokeo ya Usaili wa Kuandika DUCE 03/09/2025

Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) kimetangaza rasmi matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 03 Septemba 2025.

Waombaji waliopangwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa na DUCE. Pia, kila msailiwa anatakiwa kuwasilisha vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya uthibitisho wa utambulisho.

Majina ya Kila Nafasi iliyotangazwa

Kwa majina kamili ya waliofanikiwa katika usaili huu na maelekezo zaidi, waombaji wanashauriwa kutembelea tovuti rasmi ya DUCE.

🔔 Je, unatafuta Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya za ajira kila siku!