Matokeo ya Usaili wa Kuandika UTUMISHI 14 Juni 2025
Serikali kupitia UTUMISHI imetoa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 14 Juni 2025 kwa nafasi mbalimbali za ajira katika sekta ya umma. Haya ni matokeo rasmi kwa wale waliofanya usaili huo.
Waliochaguliwa Wazingatie Maelekezo
Wote walioteuliwa kuendelea na hatua inayofuata ya mchakato wa ajira wanapaswa:
- Kuheshimu muda na eneo la usaili kama lilivyoainishwa kwenye tangazo rasmi au wito.
- Kufika na vyeti halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho cha taifa au utambulisho wowote halali.
Nafasi Zilizohusika Katika Usaili
Zifuatazo ni nafasi za kazi ambazo usaili wake ulifanyika tarehe 14 Juni 2025:
- TUTOR II – PROCUREMENT MANAGEMENT
- TUTOR II – LAND SURVEYING_GEOMATICS
- REGISTRATION ASSISTANT II
- QUALITY ASSURANCE OFFICER II (1)
- OCCUPATIONAL HYGIENE INSPECTOR II
- ENGINEER II (BUILDING AND CONSTRUCTION)
- ASSISTANT TUTOR II–IRRIGATION ENGINEERING
- ASSISTANT TUTOR II – WATER SUPPLY AND SANITATION ENGINEERING
- ASSISTANT TUTOR II – METEOROLOGY
- ASSISTANT INSTRUCTOR II – PUMP MECHANICS
- ASSISTANT INSTRUCTOR II – PLUMBING
- ASSISTANT INSTRUCTOR II – MASONRY
- ASSISTANT INSTRUCTOR II – GIS AND REMOTE SENSING
- ADMISSION OFFICER II
Kwa waliochaguliwa, hii ni hatua muhimu kuelekea ajira serikalini. Hakikisha unafuata kila agizo na kujiandaa kikamilifu kwa hatua zinazofuata.