Usaili

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Dereva Daraja la II MDAs & LGAs, Juni 2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Dereva Daraja la II MDAs & LGAs, Juni 2025

Matokeo ya Usaili wa Vitendo kwa Dereva Daraja la Pili – MDAs & Halmashauri Juni 2025

Tume ya Ajira imetangaza matokeo ya usaili wa vitendo kwa waombaji wa nafasi ya Dereva Daraja la II waliopitia mchakato wa usaili katika Taasisisi za Serikali (MDAs) na Halmashauri (LGAs) mwezi Juni 2025.

Waombaji wote waliopata nafasi hii wanatakiwa kufika kwa wakati kwenye maeneo waliyoelekezwa kwa hatua zinazofuata, kama ilivyoelezwa katika taarifa rasmi.

Aidha, kila aliyefaulu anatakiwa kuwasilisha vyeti vyake halisi (original certificates) pamoja na kitambulisho halali cha utambulisho siku ya mawasilisho.

📝 Pakua orodha kamili ya waliofaulu kupitia kiungo hiki:

MATOKEO YA USAILI WA VITENDO DEREVA II

🔔 Tafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!