Matokeo ya Yanga Dhidi ya Dodoma Jiji Leo 22 Juni 2025
Mchezo wa leo Jumapili tarehe 22 Juni 2025 unazikutanisha Young Africans SC (Yanga) dhidi ya Dodoma Jiji FC katika dimba la Amaan lililopo visiwani Zanzibar. Hii ni mechi ya raundi ya 30 ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mechi ambayo ni ya muhimu sana katika kuamua hatima ya ubingwa wa msimu huu.
Matokeo ya Yanga vs Dodoma Jiji
Malezo ya Mchezo
- Ligi: Ligi kuu ya NBC
- Mchecho: Mchezo wa Round ya 30
- Timu: Yanga Sc vs Dodoma Jiji
- Uwanja: New Amaan Stadium Zanzibar
- Muda: 10:00 Jioni
Hali ya Mchezo na Matokeo ya Moja kwa Moja
Mpaka sasa, mchezo bado uko katika hali ya suluhu. Timu zote mbili zimeonekana kuwa makini na hakuna iliyoruhusu bao katika kipindi cha kwanza.

LIVE | YANGA 0 – 0 DODOMA JIJI
Mechi ilianza saa 10:00 jioni kama ilivyopangwa. Licha ya kuwa Yanga inaelekea kuwa na presha ya ushindi ili kufanikisha malengo yao ya ubingwa, wanakutana na timu ya Dodoma Jiji isiyo na presha, hali inayoweza kuleta matokeo ya kushangaza endapo watapuuza umakini.
🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!