Michezo

Matokeo Yanga vs Simba Leo 25 Juni 2025

Matokeo Yanga vs Simba Leo 25 Juni 2025
Live Football Score
πŸ† FOOTBALL β€’ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ TANZANIA β€’ LIGI KUU BARA – FINAL ROUND
YANGA SC
2 – 0
FULL IME
SIMBA SC
⚽ Goals
YANGA SC
PacΓ΄me Zouzoua 68′
PacΓ΄me Zouzoua 89′
SIMBA SC
No goals yet

Matokeo ya Yanga vs Simba, Yanga yaibuka na ushindi wa 2-0

MATOKEO ya Yanga vs Simba Leo 25 June 2025

Leo Jumatano, tarehe 25 Juni 2025, watani wa jadi Yanga SC na Simba SC wanakutana katika mchezo mkubwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, maarufu kama Kariakoo Derby. Mechi hii imepigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, na ilianza saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Mechi ya Yanga vs Simba Yaanza kwa Kasi

Mchezo huu unaovuta hisia za mashabiki wengi nchini na nje ya mipaka, umeanza kwa ushindani mkubwa huku timu zote zikionesha nidhamu ya hali ya juu ndani ya uwanja.

Matokeo Yanga vs Simba Leo

Matokeo ya Muda Huu

YANGA 0 – 0 SIMBA
Hadi sasa hakuna timu iliyofanikiwa kutikisa nyavu, ingawa nafasi kadhaa hatari zimeonekana kwa pande zote mbili.

Endelea Kupata Taarifa Mubashara za Mechi ya Yanga vs Simba

Habari Wise inakuletea taarifa zote za MATOKEO ya Yanga vs Simba Leo dakika hadi dakika kuhusu mechi hii kubwa. Endelea kufuatilia kwa matokeo ya moja kwa moja, mabadiliko ya vikosi, kadi na matukio yote muhimu ya mchezo huu wa aina yake.

πŸ”” Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!