Msimamo wa Ligi Kuu NBC 2024/2025
Ligi Kuu Tanzania Bara, inayojulikana kwa sasa kama NBC Premier League, ndiyo ligi ya juu zaidi ya soka nchini Tanzania. Ligi hii inaendeshwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), na imekuwa kitovu cha ushindani mkali miongoni mwa vilabu vikubwa kama Yanga SC, Simba SC, Azam FC, na vingine vingi.
Tazama msimamo wa moja kwa moja hapa chini:
Historia ya ligi hii inaanzia mwaka 1965, ilipoanzishwa kwa jina la βLigi ya Taifaβ. Baadaye ilibadilishwa jina na kuitwa βLigi Daraja la Kwanzaβ, kabla ya kupachikwa jina la sasa la Ligi Kuu kuanzia mwaka 1997.
Tangu msimu wa 2018/19, ligi hii imekuwa ikijumuisha timu 20 zinazoshiriki kwa mzunguko wa nyumbani na ugenini, ambapo kila timu hupambana kupata pointi muhimu ili kuongoza msimamo wa ligi au kuepuka kushuka daraja.
Kwa msimu wa 2024/2025, mashabiki wengi wanafuatilia kwa karibu kujua nafasi za timu zao pendwa. Je, Yanga SC ipo nafasi ya ngapi? Simba SC wapo wapi? Azam FC na Singida FC wanaendeleaje kwenye msimamo?
π Unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
π Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!