Nafasi 12 Mpya za Ajira Bukombe DC Juni 2025 – Tuma Maombi Sasa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ametangaza nafasi 12 za kazi baada ya kupata kibali rasmi kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Utumishi, kupitia barua yenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili 2025. Watanzania wote wenye sifa stahiki wanahimizwa kutuma maombi kwa nafasi hizi zilizogawanywa katika kada tatu tofauti kulingana na mahitaji yaliyoainishwa kwenye tangazo rasmi.
Kwa maelezo kamili ya nafasi zilizopo pamoja na masharti ya kuomba, tembelea kiungo hapa chini kusoma tangazo la PDF:
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
🔔 Unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!