Ajira

NAFASI 14 Za Kazi Sikonge District Council

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

Kama unatafuta ajira serikalini, Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge imetangaza rasmi nafasi kadhaa mpya za kazi. Fursa hizi ni kwa watanzania wenye sifa zinazohitajika, na mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 29 Juni 2025.

Majina ya Waajiri na Tarehe ya Mwisho

Waajiri: Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge
Mwisho wa Kutuma Maombi: 29 Juni 2025

Nafasi Zilizo Tangazwa

  1. DEREVA DARAJA II – 5 POST
    Bonyeza Kuomba
  2. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST
    Bonyeza Kuomba
  3. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 4 POST
    Bonyeza Kuomba

Jiunge na Wengine Kupata Ajira Mapema

Je, unataka kutumiwa nafasi mpya za ajira kila siku? Jiunge na maelfu ya Watanzania kupitia channel yetu ya WhatsApp kwa updates za haraka kutoka serikalini na makampuni binafsi.

👉 Bonyeza hapa kujiunga na WhatsApp Channel