Nafasi Mpya za Kazi Halmashauri Mbalimbali
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeendelea kuimarisha mchakato wa kuajiri kwa uwazi, haki na kwa kutumia mifumo ya kisasa ya kidijitali. Kupitia jukwaa hili, watanzania wengi wamepata ajira serikalini kwa nafasi mbalimbali zinazotangazwa mara kwa mara, hasa kupitia halmashauri za wilaya kote nchini.
Orodha ya Halmashauri Zenye Nafasi za Kazi 2025
Kwa wanaotafuta ajira, hapa chini ni orodha ya halmashauri zilizotangaza nafasi kupitia Sekretarieti ya Ajira mwaka huu:
- HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
- HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE
- HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA
- HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA
- HALMASHAURI YA MJI MAKAMBAKO
- HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
- HALMASHAURI YA MJI NJOMBE
- HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE
- HALMASHAURI YA MJI MASASI
- HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO
- HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI
Waombaji wanashauriwa kutembelea tovuti rasmi ya UTUMISHI au kurasa za halmashauri husika kwa taarifa kamili na viunganishi vya maombi. Ajira hizi ni fursa muhimu kwa kila Mtanzania aliye tayari kuchangia maendeleo ya taifa kwa taaluma na weledi.
🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!