Nafasi za Kazi Mbinga District Council 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ametangaza nafasi za kazi kwa Watanzania wenye sifa na nia ya kujiunga na utumishi wa umma. Tangazo hili limetolewa kufuatia kibali cha ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/A/25 kilichotolewa tarehe 29 Aprili 2025 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Idadi ya Nafasi Zilizotolewa
Halmashauri ya Mbinga imetangaza jumla ya nafasi 17 za ajira kwa mwaka wa 2025, ambapo wahitimu na watanzania wenye sifa wanahimizwa kuwasilisha maombi kwa kuzingatia masharti yaliyotolewa.
Tangazo Rasmi la Ajira
Kwa maelezo ya kina kuhusu sifa, muongozo wa kuwasilisha maombi na majukumu ya kila nafasi, unaweza kusoma tangazo rasmi kwa kubofya kiungo kilicho hapa chini:
Download Tangazo Kamili la Nafasi 17 za Kazi Mbinga District Council (PDF)