Ajira Mpya Umoja wa Mataifa (UN) 2025 Nafasi za Kazi Kutoka UNICEF, UNDP na WFP
Umoja wa Mataifa (UN) ni shirika kubwa zaidi la kimataifa lenye malengo ya kudumisha amani, kuimarisha usalama wa dunia, na kukuza ushirikiano wa kimataifa. Makao yake makuu yapo New York, Marekani, na linaendesha miradi mingi katika nchi mbalimbali, ikiwemo Tanzania.
Kupitia mashirika yake ya ndani kama UNICEF, UNDP, na WFP, Umoja wa Mataifa umetangaza nafasi kadhaa za kazi kwa mwaka 2025, ambazo zinapatikana kwa Watanzania wenye sifa stahiki.
Nafasi Mpya za Kazi UN
Zifuatazo ni nafasi mpya zilizotangazwa na Umoja wa Mataifa:
๐งช National Consultant โ Biodiversity & PPP
โก๏ธ Soma na Tuma Maombi
Mshauri wa kitaifa wa kuunganisha masuala ya viumbe hai katika mfumo wa ubia kati ya sekta binafsi na serikali.
๐ Individual National Consultant โ Zanzibar (CPD)
โก๏ธ Tuma Maombi UNICEF
Nafasi ya mtaalamu wa kitaifa kusaidia maendeleo endelevu ya kitaaluma Zanzibar.
๐ International Consultant โ Stawisha Maisha
โก๏ธ Tuma Maombi UNICEF
Mshauri wa kimataifa kusaidia mpito kutoka PSSN2 kwenda PSSN3 kupitia mradi wa Stawisha Maisha.
๐ผ National Finance Officer (NOB) โ WFP
โก๏ธ Tuma Maombi Hapa
Ofisa wa fedha ngazi ya kitaifa kwa Shirika la Chakula Duniani (WFP).
๐ข Logistics Officer โ Shipping/Port Operations (NOB) โ WFP
โก๏ธ Tuma Maombi Hapa
Ofisa wa usafirishaji na shughuli za bandari.
Maelekezo ya Kuomba
Kila nafasi ina mahitaji maalum, hivyo waombaji wanashauriwa kusoma maelezo ya kazi kwa kina kupitia link husika kabla ya kutuma maombi. Hakikisha unaandaa nyaraka zako muhimu kama CV, barua ya maombi na vyeti husika kwa usahihi.