Ajira Mpya Masasi Town Council 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi ametangaza nafasi mpya za kazi kufuatia kupokea kibali rasmi kutoka Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, chini ya kumbukumbu namba FA.97/228/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili 2025.
Tangazo hili linahusiana na utekelezaji wa ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ambapo nafasi mbalimbali zimeidhinishwa kwa ajili ya kujaza nafasi wazi katika idara tofauti za Halmashauri hiyo.
Walengwa wa Nafasi za Kazi
Watanzania wote wenye sifa stahiki wanakaribishwa kuwasilisha maombi kwa ajili ya kuchukuliwa katika mchakato wa ajira hizi mpya.
Jinsi ya Kuangalia Nafasi na Maelezo Kamili
Kwa maelezo kamili ya nafasi zilizotangazwa pamoja na masharti ya kuomba, pakua tangazo rasmi kwa kubonyeza link hapa chini: